Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Ndg. John Mnali (aliyeshika kitabu), akizungumza na wawekezaji Wamarekani wenye asili ya China katika Mkutano uliojumuisha Makampuni yapatayo 11 ya wawekezaji hao uliofanyika leo tarehe 27 Agosti, 2022 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar-es-Salaam.
0 Comments