KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA SABASABA WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUTEMBELEA
BANDA LA TIC
Katika kuadhimisha sikukuu ya Sabasaba wananchi wengi wamejitokeza
kutembelea banda la Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na kupatiwa elimu jinsi
ya kuwa Wawekezaji leo tarehe 7 Julai, 2021.
Wananchi hao wamefurahishwa sana naelimu waliyoipata kwani wamejua sheria na
taratibu za kuwa Wawekezaji, hata hivyo wameahidi kuwa mabarozi wazuri kwa
wengine kuhusiana na suala la Uwekezaji Nchini.
Sherehe za Sabasaba zimefanyika tarehe 7 Julai, 2021 Wananchi wengi wameonekana
kufika katika Viwanja vya maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Nyerere
(Sabasaba) na kutembelea mabanda mbalimbali likiwemo banda la TIC
0 Comments