Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo
cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Dkt. Maduhu I. Kazi anawatakia Watanzania wote kila
la kheri katika sikukuu za mwisho wa mwaka na baraka tele katika kuukaribisha
mwaka 2022.
#Tunarahisishauwekezaji
#WekezaTanzania2022
#Kaziiendelee
0 Comments