Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

Picha za matukio mbali mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua rasmi Awamu ya Kwanza ya Kiwanda cha Vifaa vya Umeme cha Elsewedy Electric East Africa LTD kilichopo Kisarawe II Kigamboni, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 Desemba, 2021.




 

Post a Comment

0 Comments