Na Latiffah Kigoda-Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha
uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe amefanya kikao na Watumishi wa kituo
hicho makao makuu Jijini Dar Es Salaam ikiwa ni mpango mkakati wa kuimarisha
huduma kwa wawekezaji kituoni hapo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe akizungumza na Wafanyakazi wa Kituo hicho Jijini Dar Es Salaam Novemba 15,2019
Mkurugenzi huyo pia amewapongeza
kwa zawadi wafanyakazi hodari watatu akiwepo Jackon Ishengoma, Faines Sipemba
na Mustapha Juma na kuwataka wafanyakazi wengine kuongeza bidii katika majukumu
yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi waliopata zawadi kwa uhodari wa kazi Jijini Dar Es Salaam Novemba 15,2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe akimkabidhi zawadi ya ufanyakazi bora Bi Faines Sipemba Mfanyakazi wa kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe akimkabidhi zawadi ya ufanyakazi bora Bw. Mustapha Juma Mfanyakazi wa kituo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania TIC Bw. Geoffrey Mwambe akimkabidhi zawadi ya ufanyakazi bora Bw. Jackon Ishengoma Mfanyakazi wa kituo hicho.
0 Comments