Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Dkt. Maduhu Kazi (wa
pili kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Misri, Mhe. Emmanuel J. Nchimbi
(wakwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji kutoka nchini
Misri walipotembelea ofisi za Makao Makuu za TIC Jijini Dar es Salaam leo ili
kujua fursa za uwekezaji hususani katika eneo la kilimo na ufugaji. (wakwanza
kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa HG Group, Mohamed Hegazy na (wapili kulia) ni
Mohamed Ab Elatif Hegazy.
0 Comments