Afisa Uwekezaji, Diana Ladislaus akimpa elimu mgeni aliyetembelea ofisi za TIC kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma.
Afisa Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Athumani Mkayandika akiwahudumia wateja waliotembelea ofisi za TIC kupata elimu juu ya fursa mbalimbali za Uwekezaji nchini katika Wiki ya Utumishi wa Umma.
Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Mifumo ya Tehema Bw. Mufutah Bunini akiwa na Maafisa Uwekezaji wanaowahudumia wageni kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma.
Afisa Uwekezaji, Latiffa Kigoda akimpa elimu mgeni aliyetembelea ofisi za TIC kwenye Wiki ya Utumishi wa Umma.
0 Comments